Full Time: Ligi Kuu: Namungo 1-3 Simba. Majaliwa Stadium 19 Aprili 2026

Full Time: Ligi Kuu: Namungo 1-3 Simba. Majaliwa Stadium 19 Aprili 2026

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Namungo yuko nyumbani akimkaribisha Simba mechi ipo dakika ya 13 kwenye uwanja wa
Majaliwa Stadium.

Vikosi vya leo

Screenshot 2026-04-19 at 16-27-03 Instagram.png


Screenshot 2026-04-19 at 16-20-41 Instagram.png

Gli kwanza la simba limewekwa ndani na Libesse Gueye

1776605061547.png
25' Simba wanapata bao la 2 mfungaji Oura

Screenshot 2026-04-19 at 16-32-07 Instagram.png

30' Namungo 0- Simba 2

33' Namungo wanapata bao la kwanza kwa mkwaju wa penati. Mfungaji ni Makambo. Yusuph Kagoma aliunawa mpira akiwa ndani ya boksi ikwa faida kwa Namungo kupata penati iliyowapa bao

35' Namungo 1 - 2 Simba

1776605941394.png

45' Namungo 1 - 2 Simba
Zinaongezwa dakika 2

Half Time.

Kioindi cha pili kimeanza

50' Namungo 1- 2 Simba

70' Namungo 1-2 Simba

73' Simba wanapata bao la 3, Eli Mpanzu amefunga kwa shuti kali nje ya 18

80' Namungo 1 - Simba 3
85' Namungo 1 - Simba 3
90' Namungo 1- Simba 3

Dakika 3 zinaongezwa

90 + 3 Namungo 1-3 Simba

20260419_181443.jpg


Mchezo umekwisha

Kwa ushindi huu, timu ya Simba SC imeendelea kupambana kuutafuta ubingwa wa ligi kuu ambapo mpaka sasa anabaki nafasi ya pili akiwa kafikisha alama 42, kwenye Ligi Kuu Bara nyuma ya Yanga yenye pointi 47.
 
Naanza kuona simba combinations zinakubali
 
LOEMBA acheze team work kwa utulivu kama anataka 1st eleven
 
LOEMBA... LOEMBA....I
si lazima ufunge...team kwanza..
Kuna MAEMA
 
Mwalimu na Loemba wanacheza mpira wa kawaida sana:
watolewe kwa mkopo Simba itafute namba 9 baada ya Sowa kuiwazia Yanga
 
Huyu Selemani Mwalimu ameshokosa kujiamini sasa hivi hata hajui majukumu yake uwanjani kuwa yeye ni mshambuliaji wa mwisho. Haiwezekani wewe namba tisa nyuma yako yupo fundi Chama (japo si yule OG) pembeni wapo mafundi Libase na Oura sasa we Sele unahangaika nini kurudi mpaka katikati ya uwanja kutafuta mipira au unakimbilia pembeni matokeo yake unapishana na mipira ya mwisho.

Kwa namna Simba inavyocheza sasa hivi huyo Sele alitakiwa awe na kazi tatu tu:-
1. Kupress mabeki wa kati na kipa wa timu pinzani ili wasianze kutengeneza mashambulizi kuanzia nyuma. Hili kafeli kabisa.
2. Kuzunguka ndani ya boksi la 18 tu na kufunga magoli. Hili nalo kafeli pakubwa.
3. Kuruka sambamba na mabeki wa kati wa kwenye mipira yote ya juu. Hapo napo sifuri kabisa.

Ushauri wangu tena kwenye benchi la ufundi la Simba. Pigeni hesabu kujua dakika Sele aliocheza kama namba tisa asili amefunga goli ngapi kulinganisha na magoli yaliyopatikana kwenye mechi mlizotumia "false number nine". Then baada ya hapo mtachagua wenyewe kusuka au kunyoa.
 
Back
Top Bottom