Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 3,775
- 10,094
Ni siku nyingine tena ya Ligi Kuu ya NBC, ambapo lmkoani Kigoma kutapigwa mchezo wa kusisimua kati ya wenyeji Mashujaa FC na Yanga SC.
Mchezo huo wa saa 10:15 jioni utachezwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika, huku Mashujaa FC wakiwakaribisha Wananchi katika muendelezo wa ligi hiyo.
Nini utabiri wako kuelekea mechi hii?
Updates..
Dakika 5, ngoma bado ngumu si Mashujaa wala wageni Yanga
Dakika 9, Dube anakosa goli baada ya kupigwa mpira wa kona na Okello
Dakika 25, bado milango ni migumu kwa timu zote mbili
Dakika 28, Mudathir kashapiga simu
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika.
Goli la Bakari Nondo likamilisha dakika 90 za kibabe kwa Yanga mabingwa watetezi wa ligi kuu Ya NBC
Yanga wakichukua alama zote 3 kwa Mashujaa. Atafutwe Julio arudi kauli zake za shombo alizozitoa jana