Argentina pia ligi haijaisha mkuuMwaka wa world cup, inakuwaje ligi haijaisha baada ya world cup kuanza? Hovyo kabisa.Mnashindwaje kujiuliza maswali ya wachezaji wa ligi kuitwa timu za taifa, Mechi za ligi kuingiliana muda na mechi za WC hivyo kupunguza mashabiki viwanjani.
Ligi nyingi tu afrika hazijamaliza ligi..zambia bado, gambia bado, gabon bado..kubwa zaidi hata morocco ambao wapo kombe la dunia bado kabisa hawajamaliza tena wapo round ya 24....KWA HIVYO EWE FIFA WA SONGWE TULIA.Mwaka wa world cup, inakuwaje ligi haijaisha baada ya world cup kuanza? Hovyo kabisa.Mnashindwaje kujiuliza maswali ya wachezaji wa ligi kuitwa timu za taifa, Mechi za ligi kuingiliana muda na mechi za WC hivyo kupunguza mashabiki viwanjani.
Hii Ligi haijaisha tu ?..Ni siku nyingine tena ya Ligi Kuu ya NBC, ambapo lmkoani Kigoma kutapigwa mchezo wa kusisimua kati ya wenyeji Mashujaa FC na Yanga SC.
Mchezo huo wa saa 10:15 jioni utachezwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika, huku Mashujaa FC wakiwakaribisha Wananchi katika muendelezo wa ligi hiyo.
Nini utabiri wako kuelekea mechi hii?
😅😅 wakati wanajua wachezaji wa ligi nzima wote walisajiliwa kutokea ligi za mbuzi kwenye nchi husika, wanajua haiathiri chochote na ndo maana wanaendelea tu bila tatizo loloteMwaka wa world cup, inakuwaje ligi haijaisha baada ya world cup kuanza? Hovyo kabisa.Mnashindwaje kujiuliza maswali ya wachezaji wa ligi kuitwa timu za taifa, Mechi za ligi kuingiliana muda na mechi za WC hivyo kupunguza mashabiki viwanjani.
Mbona yanga na simba ndo mabingwa wa kucheza nje ya uwanja..Sina uhakika ila naskia mashujaa wamecheza mechii nje ya uwanja, wananchi muwe na tahadhari.