Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1 Kwa OMagoli Mangapi jamani?
Bocco anacheza viwanja vyote, akikukosa Okwi basi unaangukia kwa Bocco.Kwa kiwanja hicho lazima Simba apigwe ili apate pa kusemea
ShunieMnyama kwenye ubora wake ule ule
Unamwita mmeo mkata viuno?Mwadui fungeni hao wakata mauno wa msimbazi.
ulitaka wafungwe na nani?kuna timu nyingine zinatia aibu tu ligikuu, kufungwa na simba mapema hivyi maana yake nini