Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
La kumi Na Nneeeee
Okwiiiiiiii
Nilihisi joto la Ajabu Baada ya Awa Maaduhi kurudisha lol!!!Ahsante Simba
Asante sana Emmanuel Okwiiii1 Kwa O
Nilihisi joto la Ajabu Baada ya Awa Maaduhi kurudisha lol!!!
Wacha tuuu...Nilihisi joto la Ajabu Baada ya Awa Maaduhi kurudisha lol!!!
Ni Diclopar Pale unapokuwa na Maumivu Na ni Maji pale unapokuwa Na kiu ya Ajabu.Hivi Okwi ndio nani mbona kila simba inapocheza huwa namsikia.
Ni Diclopar Pale unapokuwa na Maumivu Na ni Maji pale unapokuwa Na kiu ya Ajabu.
a k a Ni Mchezaji Wa Kitaifa Chini ya Simba.
Limekutosha!???
Oya Vipi Mbona Sikuelewi, Umetumwa Ama!???Maaduhi ndio nn?
Shulee dogoooHivi kwanini Simba ikicheza mashabiki wa Yanga wanakuwa wengi huku vibanda umiza..?? Ila Ila wakicheza Yangu vibanda umiza vinakosa watu kabisa