Full Time: Mwadui FC 2 - 2 Simba SC kutoka dimba la CCM Kambarage, Sinyanga

Hivi kwanini Simba ikicheza mashabiki wa Yanga wanakuwa wengi huku vibanda umiza..?? Ila Ila wakicheza Yangu vibanda umiza vinakosa watu kabisa
 
Hivi Okwi ndio nani mbona kila simba inapocheza huwa namsikia.
Ni Diclopar Pale unapokuwa na Maumivu Na ni Maji pale unapokuwa Na kiu ya Ajabu.
a k a Ni Mchezaji Wa Kitaifa Chini ya Simba.
Limekutosha!???
 
Hapana Mkuu bado halijanitosha hebu ongeza.
Ni Diclopar Pale unapokuwa na Maumivu Na ni Maji pale unapokuwa Na kiu ya Ajabu.
a k a Ni Mchezaji Wa Kitaifa Chini ya Simba.
Limekutosha!???
 
Walisema Okwi hajawahi kufunga nje ya dar...haya sasa
 
Hivi kwanini Simba ikicheza mashabiki wa Yanga wanakuwa wengi huku vibanda umiza..?? Ila Ila wakicheza Yangu vibanda umiza vinakosa watu kabisa
Shulee dogooo
Ukiwana shuleee pesaipoo NA wanayanga wengi tunaangalia majumbani sio vibanda maiti vyenu mkasome siokushabikia simba tu watoto wenu wasijazane vibandani
 
Back
Top Bottom