Full Time: Mwadui FC 2 - 2 Simba SC kutoka dimba la CCM Kambarage, Sinyanga

Asanteni Mwadui tunashukuru kwa kazi nzuri,hawa vilaza tumewazoea wanakomaa ila mwishoe wenye kombe letu tunanyanyua kama kawa ila Mikia mnakera sana kututegea kwenye ubingwa na sisi tunachoka jamani duh.
Mkuu, ile penati ya Okwi. Kama Mbeleko vile!
 
Wooooiiii najua mtaanza kutafutana...muda utasema
Haitawezekana labda kwenu ambako hakuna matokeo matatu katika mpira.

Lakini kwa wana Simba makini ni hali ya mchezo hutokea hata kwa timu shindani.. Madrid, Barcelona, Chelsea, Manchester United, Manchester City, Bayern Munich, Mbao FC, Azam FC.
 
unaiwekaje Bayern, Madrid Barca kundi moja na vitu vya ajabu mkuu?
 
unaiwekaje Bayern, Madrid Barca kundi moja na vitu vya ajabu mkuu?
Mkuu Jose samahani kwa kukutoa nje ya mada.
Nahitaji kujiunga na Jukwa la Dini na Imani humu jamii forum, nifuate hatua zipi?
Napenda sana masuala ya Dini na Imani.
Nipe njia Mkuu niweze kuingia huko nami nifurahi.
 
Leo Simba sc tumefungwa kwa sababu moja kubwa.
Baada ya John Boko kuumia ilibidi aingie Gyan. Au Kazimoto, hao wote wangeendana na kasi ya mchezo wa Mwadui.
Mavugo hana kasi, hakabi, hamiliki mpira. Kuingia kwake tukaanza kushambuliwa maana mbele hakukuwa na madhara tena.
Kocha aangalie tutakuja kosa ubingwa kwa mapenzi ya mtu mmoja.
Simba tunataka ubingwa mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…