Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mpumbavu huyu si angeipost kabla ya gemu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpumbavu huyu si angeipost kabla ya gemu?
Alipost jana hiyo na vyombo vingi vya habari vimezungumza sana post hiiMpumbavu huyu si angeipost kabla ya gemu?
Mkuu, ile penati ya Okwi. Kama Mbeleko vile!Asanteni Mwadui tunashukuru kwa kazi nzuri,hawa vilaza tumewazoea wanakomaa ila mwishoe wenye kombe letu tunanyanyua kama kawa ila Mikia mnakera sana kututegea kwenye ubingwa na sisi tunachoka jamani duh.
Haitawezekana labda kwenu ambako hakuna matokeo matatu katika mpira.Wooooiiii najua mtaanza kutafutana...muda utasema
unaiwekaje Bayern, Madrid Barca kundi moja na vitu vya ajabu mkuu?Haitawezekana labda kwenu ambako hakuna matokeo matatu katika mpira.
Lakini kwa wana Simba makini ni hali ya mchezo hutokea hata kwa timu shindani.. Madrid, Barcelona, Chelsea, Manchester United, Manchester City, Bayern Munich, Mbao FC, Azam FC.
Leo 4G network inasumbua.., sijui mawingu!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] fursa
Leo Manara Kapewa mke wa mtu, kashindwa mwenyewe2+2=4G
Ndivyo Manara alivyowaambia Mikia wenzake.
Amina njoo msimbazi nikupe kadi au unayo?
Hapana Sina
Leo Manara Kapewa mke wa mtu, kashindwa mwenyewe
Mkuu Jose samahani kwa kukutoa nje ya mada.unaiwekaje Bayern, Madrid Barca kundi moja na vitu vya ajabu mkuu?
Basi samahani Mkuu ushanijibu.unaiwekaje Bayern, Madrid Barca kundi moja na vitu vya ajabu mkuu?
Bado al masry yan tusiongee tubakishe maneno wadau kule 4G inaweza ikawa 6G manara sijui atasemaje..., heluaaa2+2=4G
Ndivyo Manara alivyowaambia Mikia wenzake.