Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
All The Best Dar Es Salaam Young Africans. [emoji110]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unbeaten Loading....[emoji3]Twende kazi mabingwa [emoji471] wetu wa msimu huu [emoji123]
Huyu Fei Toto tumpeleke tu Ulaya. Maana hakuna namna.Unbeaten Loading....[emoji3]
Ni yule Chico Ushindi aliyekuwa anasimangwa na watoto wa Dr. Mudi! Anafunga goli la kibabe hapa!Nani huyo tena
Mayele aende likizo... asilazimishe golden boot. Hizi mechi za bonanza.Kikosi Cha Young Africans.View attachment 2269020
Wananchi hawana ushamba walionao makoloWamechukua ubingwa still wachangiaji bado wakuokota okota
Kama kwenye mitandao hali iko hivi, huko uwanjani itakuwaje?
ISKENDER!! from russia!hizo fungaji zenu jina zao kitu gani?