Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga hatuna wapiga kelele wa mtandaoni,online noise making haileti matokeo chanya uwanjaniWamechukua ubingwa still wachangiaji bado wakuokota okota
Kama kwenye mitandao hali iko hivi, huko uwanjani itakuwaje?
Yanga 2 Polisi Tanzania 0. Half time.Ngapi ngapi?
Bomu mochwariYanga 2 Polisi Tanzania 0. Half time.
So sare yenu mlikamiwa na maiti maviiiiiBomu mochwari
Jinga weweSo sare yenu mlikamiwa na maiti maviiiii
Wamechukua ubingwa still wachangiaji bado wakuokota okota
Kama kwenye mitandao hali iko hivi, huko uwanjani itakuwaje?
Tupo busy uwanjani kushangilia ubingwa wewe endelea kusubiria comment hapaWamechukua ubingwa still wachangiaji bado wakuokota okota
Kama kwenye mitandao hali iko hivi, huko uwanjani itakuwaje?
Watu wapo busy uwanjani kuishangilia timu yao wewe upo jf unahesabu kurasaUtopolo mnaendeleza recodi hasi. Uzi kurasa 2 tu!
Sasa tuna lengo la kutofungwa mwanzo hadi mwisho wa ligiUbingwa tayari tunamalizia tu ratiba ndo maana malalamiko fc hawana hamu ya kuja kutupongeza
ubingwa wamchongo🤔Twende kazi mabingwa 🏆 wetu wa msimu huu 💪
Kule kwenye thread yetu ya wana jangwani, niliwahi kusema chico ni mzuri sana kuliko Moloko.Chico ushindi wa moto
Kwakweli, Maana Namna Anavyofunga Magoli Kama Mchezaji Wa Laliga! [emoji3]Huyu Fei Toto tumpeleke tu Ulaya. Maana hakuna namna.
Naona unapiga sarakasi huku unakunyaWamechukua ubingwa still wachangiaji bado wakuokota okota
Kama kwenye mitandao hali iko hivi, huko uwanjani itakuwaje?