Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
2-1;Portugal. Portugal kabebwa.
Angalau alivyotoka Mbuzi timu ikaanza kua na makali kule mbele.Croatia Wana roho ya paka Sijawahi kuona, hawa Jamaa wanatoa game ngumu Sana...They gave everything dadeki, Hizi ndio timu hata mkitolewa huwezi kutukana Sana lakini siyo wale wamatumbi wenzetu kmmke...Hizi ni mechi zilizotakiwa zichezwe kuanzia robo fainali huko, sema Portugal Wana kazi Sana maana watakuwa Kila muda wanabana makende Kwa uchezaji wao ule watalaumiana Tu na Spain mechi ijayo...
Mbuzi wa kuchovya.Angalau alivyotoka Mbuzi timu ikaanza kua na makali kule mbele.