tulia bintiYalaaaaa uwiiiiiiiiiiiiii wapi popoma GENTAMYCINE?
Ni Tambwe anatuwasha hapa
vice versa is also trueleo simba ikishinda ukawa wanaingia ikulu,
yanga ikishinda ccm wanaingia ikulu.
heeh heehhii mifala inaosikiliza mpira huku mnaangalia kwenye TV ,inakera mno.
wanashangilia wakati goli bado
Makoye yu wapi? Bantu Lady? Yahoo? Wonderful?
njooni huku hawa watani wenu wanawasemea mbofumbofu huku bana!
dalili ya mvua ni mawingu.... msome OKW BOBAN SUNZU hapo
Watu weweeeeeee.....weraaaaaaa....piga keleleeeeeeeee....
Ila sina raha mashabiki wenzangu wa Yanga wanavyoimba CCM....
Huu ni undezi bhana!
Simba ikishinda ukawa ikulu