Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Kweli Simba mmeishiwa jamani!Mussa Mgosi?Huyu jamaa hata bure hatumtaki.
 
Kuna video nimetumiwa ccm wanagawa mabango ya magufuli upande wa pili kuna
Maandishi ya yanga...kisha unapewa tiketi bure
 
Duh.....simba wanataka kuniharibia jioni yangu.
 
Tulieni hii mechi Simba hafungwi ....macho yangu hayajawahi kunidanganya....Yanga wanatulizwa kelele muda si mrefu....
 
Kalale tu mkuu mana la pili likiingia hata kusimama utashindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…