Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Naona Simba wameanza mieleka hapa.!
 
Refa amalize sasa mana hawa tanesco hawaaminiki kabisa!!!
 
Aoseeeee
Kesho patakuwa Kimyaaaaaaaaaa...
Simba mmeniumiza sana
 
Duuuuuh.......tanesco wananisababishia presha tu hapa
 
Busunguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu uuuuu
 
Waheshimiwa mimi kweli ni yanga damu damu ila sina mpango na ccm hata kidogo hapa ni mabadiliko mwendo mdundo
 
Oyooooooo nahisi kuzimia jamani!
Uwiiiiii asante sana Yanga yangu kipenzi.
 
Hahahahahaaaaaaaaaaa
Mikia hoiiiiiiiiiii
Kifo cha mendeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…