Hongereni, tanesco msirudishe tu umeme.
igweeeeeeee mimba ya pili!!!!!!
Haaaaa mwaaaaaaaa, furaha tupu
Busungu ameshakuua
Bado moja nilichokiomba kitimie
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhh haya bana
Nilikuambia nini GENTAMYCINE?Leo utakavyonitukana ni hatariiiii.
Raha.... Utamu
Hongereni, tanesco msirudishe tu umeme.
Haaaaaa..... hizi kelele hadi dakika 90. mwanzo mwisho mkuu
kuna goli tena mkuu,siangalia huo mpira,vipi tunampakata mnyama