simba 3 - 1 yanga
Leo utatafuta pa kutokea...utajutaaaaaaaa
Leo Yanga lazima chamoto wakione tena itabidi wafungwa tano bila kabisa mnyama simba ni kiboko
Sawa kabisa
Wewe waache tu mkuu,hawa wetu manati ya nini?
Subiri mpira uanze.
Hahahaah......msiongee maneno yote mtaishiwa ya kuongea baada ya mechi
Tuko relaxed kabisa mkuu...nyie ndo nawasiwasi kama hamtatuachia jukwaa
Simba ikifungwa leo ntajiuzulu rasmi kushabikia mpira kwa heshima.
Line up hazijatoka ?
Azam TV wameanza kuichambua hii mechi
Simba ikifungwa leo ntajiuzulu rasmi kushabikia mpira kwa heshima.
Tutazipata hivi punde
Hebu nipatie link ya azam tv niungane nanyi
mechi ni saa ngapi?