Hahahaah kwa kikosi hiki, kipigo hakikwepekiBarthes
Mbuzi
Mwinyi
Kelvin
Haroub
Kamusoko
Msuva
Telela
Ngoma
Tambwe
Niyonzima
Reserves
Munishi
Abdul
Bossou
Kaseke
Busungu
Courtinho
Na ww weka za simba
Hahahaah kwa kikosi hiki, kipigo hakikwepeki
We jifariji tu ila nimekwambia usilikimbie jukwaa
Hakuna timu nazichukia,sizipendi na wanapiga domo kama yanga na man u.Yanga akifungwa leoo sikukuu inarudi upyaa.Hatufungwi mkuu wala usiwe na shaka
Mechi haitarushwa na channel nyingine tofauti na Azam?
Kwa mara ya kwanza mimi na wewe tumetofautiana kipenzi changu!
Haya na tuone nani atalia nani atacheka.
Twaweza, synovate Na webgine wamesema yanga anapigwa tena peku
Twaweza, synovate Na webgine wamesema yanga anapigwa tena peku
Hahahaah kwa kikosi hiki, kipigo hakikwepeki
Shemejiiii.......
Presha juu
Totternham 3 - City 1