Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
Simba itafanya utambulisho wa wachezaji wapya na kucheza game moja na timu ya Gor Mahia kutoka Kenya katika uwanja wa Benjamin Mkapa.
Msimu wa 2025/2026 ni wetu vikombe vyote vitaelekea msimbazi.
#SIMBA NGUVU MOJA 🦁 💪
Mbosso ameshika kipaza sauti, umati umeitikia...