Hii ni siku maalum kwa mashabiki, na wanafamilia wote wa Simba SC Club kuitazama timu yao baada ya mapumziko ya muda/pre season ili kujiandaa, kufanya usajili bora na kufanyia maboresho baadhi ya makosa yaliyofanywa msimu uliopita.
Simba itafanya utambulisho wa wachezaji wapya na kucheza game moja na timu ya Gor Mahia kutoka Kenya katika uwanja wa Benjamin Mkapa.
Msimu wa 2025/2026 ni wetu vikombe vyote vitaelekea msimbazi.
Hakikisheni safari hii hakuna msanii anayeingia na jeneza au kuigiza kufa kwenye hilo tamasha lenu. Hao ndiyo wanao waletea mikosi kila mwaka na hivyo kujikuta mnafungwa tu hovyo na mtani wenu Yanga.

Aliitishia CAF kuwa mchezo ukipelekwa Zanzibar yeye hatahudhuria akidhani CAF watatetemeka; wala hawakumjibu kitu na mchezo ukaendelea Zanzibar bila mabadiliko yoyote.