ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nini kimetokea wamechana?Shaaaaaabash
Nani kafunga kipenzi?Tumefunga lingine dear🤸🤸🤸🤸
Asante Sana natetemeka hapa😂😂Kibu golii
Walivyo na akili za KUOKOTEZA wanaweza msajili kweli 😂Mutale auzwe Yanga.
Goli sio Goli?Wabongo ni wajinga sana yaani wanashindwa kuingia kwenda kuwapa kichapo hao Waarabu wanaomletea fujo refa?