Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Mpumbavu ni wewe ambaye unadhani a game in hand ni pointi 3 tayari.Pointi hazihesabiwi ni zako mpaka ushinde hiyo game in hand.Inaweza ikawa pointi 1 au hata sifuri. Ukidraw au kufungwa.
Shule ulisomea ujinga?
 
Upumbavu wako unatokana na kukimbilia conclusions za haraka haraka badala ya kuwa cautious kulingana na msimamo.
 
Upumbavu wako unatokana na kukimbilia conclusions za haraka haraka badala ya kuwa cautious kulingana na msimamo.
Na hapo umejibu hoja au umedhihirisha tena upumbavu wako.Soma uelewe wacha kukariri kama kasuku.
 
[emoji881]
Tumeshindaaaaaa.
[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…