Huyu jamaa ni hatari na nusu, kesho tutegemee Mwakalebela kuitisha press😂Morrison pass zake za mwisho hatari na nusu
Pale alikuwa amezingirwa hakuwa na uprnyo wa kuondoka na mpira
Pale Chama alikuwa na time na space ya kutosha kufanya maamuzi bora zaidi, kama ulimwona Miquissone alikuwa anafanya mkimbio mzuriAlifanyaa poa pale sema haikukubali tu
Basi wangegoma kuingiza timu uwanjani. Au unaonaje?Key players nane wa Al Merrikh hawapo wewe unategemea kutakuwa na Ushindani hapo
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
www.hesgoal.comChennel gani wanaonyesha nishuhudie mnyama anavyopigwa ki1 bila
MfamajiKey players nane wa Al Merrikh hawapo wewe unategemea kutakuwa na Ushindani hapo
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Mi huwa nashangaa sana resources tunazo lakini tunashindwa kuzitumia sijui kwsnini aiseeEti Stars wanaenda kina Mwamunyeto
Key players nane wa Al Merrikh hawapo wewe unategemea kutakuwa na Ushindani hapo
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Acha nivimbe dada hakuna namna simba inatupa raha sana
Washafanya namna
Naona unateseka sasa mkuu itakuwaje sasa, naona itabadi uzoeeKey players nane wa Al Merrikh hawapo wewe unategemea kutakuwa na Ushindani hapo
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3]Basi kautoe mwiko wako kwenye chumba chao cha kubadilishia nguo
Sawanaona unateseka sasa mkuu itakuwaije sasa .naona itabadi uzoee