Full Time: Simba SC 3 - 0 Al Merrikh

Full Time: Simba SC 3 - 0 Al Merrikh

Anatakiwa apambane sasa akileta mchezo ataondoka
Kupambana anapambana sema ana pigo za ajabu
Msimu ule alikuwa muhimu sana aliwatoa nkana na vita sasa naona kama miqquisone anavoshine anahisi ufalme wake simba utafutika so ni kama anataka achkue maamuzi kwa nguvu zake ili arudi tena juuu kwenye chati maana kama kwenye mechi kuna mara kadhaa sehemu za kupiga pasi anataka awatoke mabeki kitu ambacho si kizuri kwenye teamwork
 
Al Ahly hawatocheza kwa pressure kali mno endapo mechi inayofuata dhidi ya Al Merreikh watashinda. Maana wakishinda hiyo mechi watakuwa na point 10. Hivyo picha kamili ya kundi hili litapatikana kwenye mechi inayofuata ya Simba vs As Vita na Al Merreikh vs Al Ahly. As Vita akitoa sare au kufungwa atakuwa wameaga mashindano. Huku Al Ahly akimfunga Al Merreikh, mechi ya mwisho ya Al Ahly vs Simba itakuwa ni vita ya kumkwepa Mamelodi (kuongoza kundi)
Nimecheka sana eti kwa kumkwepa mamelodi
 
Nimecheka sana eti kwa kumkwepa mamelodi

Masandawana ndio timu ngumu kuliko zote kwa ukanda wa waafrica weusi.. waarabu wana timu kali kama esperence, al ahly ila nazo hazipendi kukutana na mamelodi maana zinapigwagwa 5 -0 zikienda masandawana stadium pretoria
 
Back
Top Bottom