KUCH KUCH
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 1,327
- 966
Sawa dada mvaa vjora na madela ila domo lako linatoa harufu mbaya weeeeMwisho wa Simba kushinda ulikuwa ni leo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa dada mvaa vjora na madela ila domo lako linatoa harufu mbaya weeeeMwisho wa Simba kushinda ulikuwa ni leo..
Na wewe dada mvaa vjora na madela umekuwa MWAKALEBELA. MNATESEKA NGURUWE FCBaada ya kuwatoa wachezaji 8 eti wana korona, sasa wameandika huko Caf tusubiri mwongozo utatumwa
Falasi weee. Mbona nyie utopolo aka NGURUWE FC Hamuwez fanya hayaMshaanza majivuno sasa! Ndiyo hapa tunashindwana na nyie watu[emoji3] mmeotea tu leo kuwafunga hao [emoji51]
Hatuwezi tukakosa sare kwa Mkapa, wale watapigwa fitina kama zoteSasa mkuu As Vita keshajeruiwa uko,mechi yake ya kumpa matumaini ni ya hapa na Simba,tutamkalisha kweli uyu Bolingo na ngai?
Ni kweli japo si rahisi vita kuifunga simba kwa zaidi ya goli moja! Halafu inaelekea El Merreikh watu wameidharau Sana! Lakini ukweli ni kuwa hawa Wasudan watapata point moja nyingine, aidha toka kwa vita au toka kwa Al Ahly. Kwa hiyo simba ishafuzu!!Itategemea AS Vita atamfunga Simba goli ngapi. Ili Vita apite atatakiwa kumfunga Simba pale Kwa Mkapa kwa tofauti ya kuanzia goli 2, yaan 2-0, 3-1 etc.
Maana timu zinapolingana points huangaliwa H2H baina yao. Sijajua kama hii H2H huhusisha pia advantage ya goli za ugenini
Ila ni kweli,Simba sasa sio ya kushindwa kula nyama laini laini kama hizi.Hatuwezi tukakosa sare kwa Mkapa, wale watapigwa fitina kama zote
Hivi huwezi kushabikia bila matusi? Nani falasi sasa??Falasi weee. Mbona nyie utopolo aka NGURUWE FC Hamuwez fanya haya
Ahsante kwa kutoa somo hapa.Anapita Vita kwa sababu anamagoli mengi zaidi ya simba wakilingana pointi 10 na ninaona uko mbele simba akijitahidi kati ya mechi zake hizo mbili ashinde moja na kufungwa moja atapita ila naona mwendo huu wa simba huko mbele anamaliza nafasi ya pili huku nafasi ya kwanza ikishikwa na wamisri. Hebu tusubiri tuone bado mechi hizi ni bado ni mapema wote watatu wana nafasi ya kufuzu yaani simba, Al ahly, na As Vita tusubiri tuone yajao yanafuraisha kama tukiwa makini na mechi yetu hii ya nyumbani zidi ya As vita tunatakiwa tushinde na sio sare ili tuwe na pointi 13 ili twende laundi ya pili, kila la heri Simba Mungu awe pamoja nawe.
Mimisri hawezi kuongoza. Ataharibiwa na Wasudan! Halafu hana ubavu wa kufunga simba!Anapita Vita kwa sababu anamagoli mengi zaidi ya simba wakilingana pointi 10 na ninaona uko mbele simba akijitahidi kati ya mechi zake hizo mbili ashinde moja na kufungwa moja atapita ila naona mwendo huu wa simba huko mbele anamaliza nafasi ya pili huku nafasi ya kwanza ikishikwa na wamisri. Hebu tusubiri tuone bado mechi hizi ni bado ni mapema wote watatu wana nafasi ya kufuzu yaani simba, Al ahly, na As Vita tusubiri tuone yajao yanafuraisha kama tukiwa makini na mechi yetu hii ya nyumbani zidi ya As vita tunatakiwa tushinde na sio sare ili tuwe na pointi 13 ili twende laundi ya pili, kila la heri Simba Mungu awe pamoja nawe.
Hapana wanaangalia H2H kwanza kabla ya goal difference endapo mtalingana point. Endapo watakuwa sawa sawa kwenye H2H ndio wanaenda kwenye goal differenceHead to head inaangaliwa baada ya kulingana point na kulingana goal difference. Yaani ili Vita itabidi simba ufungwe jumla ya mabao yasiyopungua 8 katika mechi mbili zilizobaki na simba asifunge hata goli moja kwenye mechi zilizobaki.
Goal difference wataangalia endapo H2H watalingana. Mfano Simba akipoteza kwa As Vita magoli mawili kwa moja hapo matokeo yatambeba As Vita kwasababu kwenye H2H Simba ameruhusu magoli mengi ya ugenini. Hivyo itaifanya mechi ya mwisho dhidi ya Al Al Ahly, Simba akatafute sare kwa udi na uvumba ama ushindi. Huku As Vita ata akishinda goli moja tu dhidi ya Al Merreikh, anakuwa kafuzu endapo Simba atafungwa Misri.Anapita Vita kwa sababu anamagoli mengi zaidi ya simba wakilingana pointi 10 na ninaona uko mbele simba akijitahidi kati ya mechi zake hizo mbili ashinde moja na kufungwa moja atapita ila naona mwendo huu wa simba huko mbele anamaliza nafasi ya pili huku nafasi ya kwanza ikishikwa na wamisri. Hebu tusubiri tuone bado mechi hizi ni bado ni mapema wote watatu wana nafasi ya kufuzu yaani simba, Al ahly, na As Vita tusubiri tuone yajao yanafuraisha kama tukiwa makini na mechi yetu hii ya nyumbani zidi ya As vita tunatakiwa tushinde na sio sare ili tuwe na pointi 13 ili twende laundi ya pili, kila la heri Simba Mungu awe pamoja nawe.
Mechi ngumu kwa Al Ahly ilikuwa ya jana kule Congo.Mimisri hawezi kuongoza. Ataharibiwa na Wasudan! Halafu hana ubavu wa kufunga simba!
Al Ahly hawatocheza kwa pressure kali mno endapo mechi inayofuata dhidi ya Al Merreikh watashinda. Maana wakishinda hiyo mechi watakuwa na point 10. Hivyo picha kamili ya kundi hili litapatikana kwenye mechi inayofuata ya Simba vs As Vita na Al Merreikh vs Al Ahly. As Vita akitoa sare au kufungwa atakuwa wameaga mashindano. Huku Al Ahly akimfunga Al Merreikh, mechi ya mwisho ya Al Ahly vs Simba itakuwa ni vita ya kumkwepa Mamelodi (kuongoza kundi)Halafu cha ajabu watu wameshakanusha kuwa Al Ahly ataifunga Simba! Si rahisi kivile! Hiyo mechi Ahyl atacheza kwa pressure kali mno!! Matokeo yake atafunguka Sana na hapo ndipo atakapolizwa ka mtoto mdogo! Uwezekano mkubwa wa hiyo mechi ni sare!!
Pamoja na kuwa Ahyl atakuwa nyumbani lakini bado naona ataiheshimu Sana simba kuliko mnavyodhani!! Anachogombania ni nafasi ya pili tu!
Tunahitaji sare tu, sio lazima kushinda. Zingatieni kanuni za mashindano haya, tusiishi kwa kukariri. Kanuni za mashindano haya ya CAF Champions League 2020/2021 zinasema timu zikilingana point, kinachofuata kuangaliwa ni points baina ya timu zilizolingana, yaani Head to Head, na zikilingana tena ndio zinafuata criteria nyingine. Simba na Vita zikilingana point 11, Simba inasonga bila kuangalia magoli ya Vita, hatakama watafikisha 15, maana tutakuwa na points 4 dhidi ya kwao 1 kwa kuangalia timu hizi mbili tu... mechi yetu hii ya nyumbani zidi ya As vita tunatakiwa tushinde na sio sare ili tuwe na pointi 13
Mechi ambayo Simba hawezi kupoteza kirahisi niya VITA CLUB...Halafu cha ajabu watu wameshakanusha kuwa Al Ahly ataifunga Simba! Si rahisi kivile! Hiyo mechi Ahyl atacheza kwa pressure kali mno!! Matokeo yake atafunguka Sana na hapo ndipo atakapolizwa ka mtoto mdogo! Uwezekano mkubwa wa hiyo mechi ni sare!!
Pamoja na kuwa Ahyl atakuwa nyumbani lakini bado naona ataiheshimu Sana simba kuliko mnavyodhani!! Anachogombania ni nafasi ya pili tu!
Umeandika pumba. UongoTunahitaji sare tu, sio lazima kushinda. Zingatieni kanuni za mashindano haya, tusiishi kwa kukariri. Kanuni za mashindano haya ya CAF Champions League 2020/2021 zinasema timu zikilingana point, kinachofuata kuangaliwa ni points baina ya timu zilizolingana, yaani Head to Head, na zikilingana tena ndio zinafuata criteria nyingine. Simba na Vita zikilingana point 11, Simba inasonga bila kuangalia magoli ya Vita, hatakama watafikisha 15, maana tutakuwa na points 4 dhidi ya kwao 1 kwa kuangalia timu hizi mbili tu
Umeandika pumba. Uongo
Hahahahah mkuu THIS IS SIMBALeo mchana nilikuwa nafanya kikao nikaambiwa mpaka kufika mapumziko ni mbili bila,
Niliumia na kukasirishwa sana nikawaza leo lazima wewe jamaa uniletee mbwembwe,
Wangeruhusu kuingia uwanja wa taifa ningevaa kanzu nishabikie waarabu aisee...