Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
Anatakiwa apambane sasa akileta mchezo ataondokaNahisi anaona miqquissone anamfunika
Atulize kichwa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatakiwa apambane sasa akileta mchezo ataondokaNahisi anaona miqquissone anamfunika
Atulize kichwa tu
Kupambana anapambana sema ana pigo za ajabuAnatakiwa apambane sasa akileta mchezo ataondoka
mambo ya wema peleka jukwaa la upotoloWahehe msijifanye mko bize na matokeo ya Simba....mrudishieni WEMA mbwa wake .....
Nimecheka sana eti kwa kumkwepa mamelodiAl Ahly hawatocheza kwa pressure kali mno endapo mechi inayofuata dhidi ya Al Merreikh watashinda. Maana wakishinda hiyo mechi watakuwa na point 10. Hivyo picha kamili ya kundi hili litapatikana kwenye mechi inayofuata ya Simba vs As Vita na Al Merreikh vs Al Ahly. As Vita akitoa sare au kufungwa atakuwa wameaga mashindano. Huku Al Ahly akimfunga Al Merreikh, mechi ya mwisho ya Al Ahly vs Simba itakuwa ni vita ya kumkwepa Mamelodi (kuongoza kundi)
Mamelodi anatishaNimecheka sana eti kwa kumkwepa mamelodi
Nimecheka sana eti kwa kumkwepa mamelodi