Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Hata mimi ningekuwa nacheza ningekuwa nayo...Ana assist huyo sio mwenzako
Kwa uandishi huu kwa nini tusikudharau?kutuzarau
mfa maji haishi kutapatapa
Kwa maana hiyo una maanisha ungekuwa bora kuliko MpumeleloHata mimi ningekuwa nacheza ningekuwa nayo...
Bila msaada wa akina Chasambi hakuna cha droo wala nini!Yanga gemu hii angetoa droo
Ndio mkuuπ ππ€£π€£π€£π€£π€£ kumbe ulikua uwanjan kabs
ππππππππππImagine Zimbwe saa zote yuko kwenye Box la mpinzani kama striker π π πππ ah hii bahasha nzito sana
Wachaa tuoneeMakolo wakishapata goli tu huwa wanajisahau ndo wanapoadhibiwa π
Ulianza ushabiki wa mpira kabla sijawa shabiki wa Yanga. Chochote kinachotokea hakina nafasi ya kuniumiza.Naiona huzuni yako mkuu, pole sana
Salamaleko ephen_ Simba π¦ guvu moyaaa πππSimba hawana akili.
In saida karoli voice π wenye wivu wajinyonge.Salamaleko ephen_ Simba π¦ guvu moyaaa πππ
Ya jana hamkuiweka vizuri?Imagine Zimbwe saa zote yuko kwenye Box la mpinzani kama striker π π πππ ah hii bahasha nzito sana
Wanatamani kusema wao ni CCM ila wakikimbuka mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama tumepata wanabaki kulia tuuuHaya Siyo Mapenzi Kwa SIMBA, Ni MAHABA
Kile Kikundi Cha Kijani Kinapita Humu Kinasonya Sana