Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Chasambi kakojolea keki ya utopwinyo 😂Jamani mimi mgeni humu nauliza tu kwa kutaka kujua huku kuna nini kwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chasambi kakojolea keki ya utopwinyo 😂Jamani mimi mgeni humu nauliza tu kwa kutaka kujua huku kuna nini kwani?
Chasambi kurudi na Mapnzu kaanzaJamani mimi mgeni humu nauliza tu kwa kutaka kujua huku kuna nini kwani?
Ukweli Ateba amecheza vizuri sana ,sema wanasimba wao wanaonaga kufunga magoli ndio kucheza.Hivi mechi ya leo kuna mchezaji gani kacheza vizuri kumzidi Ateba?
Karamu ❌️ - shereheUto wawe na karamu na karatasi kuandika hizi notes
Mara hii umebadili gia angani tena unataka kulinganisha idadi ya mechi wakati hoja ilikuwa ni kushinda kuanzia goli tano (kwanza mmetuzidi mechi moja tu), by the way sisi mechi zetu siyo za maigizo ninyi hongeni hizo timu kisha zifungeni hata magoli mia ila ukiishia nafasi ya pili hayo magoli hayatakupa ubingwa, maana naona msimu huu mmeona ubingwa mgumu mmeamua kutafuta kiatu cha mfungaji bora kwa namna yoyote ile mradi msitoke patupu, kabla hujaleta zile ngonjera zenu za kuifunga simba mechi nne mfululizo jikumbushe kwanza mliifunga katika mazingira gani, tumeshajua kiwango chenu kinapimwa kwenye mechi za kimataifa na zile timu ambazo hazidhaminiwi na gsm hicho ndio kiwango chenu halisi huku kwingine huwa mnacheza nje ya uwanjaTaja basi mechi alizoshinda 5 tutaje na mwenzake alizoshinda 5 tulinganishe
Baunsa letuAteba mwili Jumba😀😃😂
Kawaida... Simba huwa inakaziwa sana. Wakifungwa na wengine huwa sawa ila siyo na Simba.Wapumbavu fountaingate walikaza juzi wamewapanulia akina nani wale wakapigwa goli 2. Shenz kabisa.
Amepigwa goli 2 safi na amecheza gemu ya hovyo .. nilisema niwaangalie hio mechi nilikaa benchi la mbele kabisa kwenye banda umiza ..Kawaida... Simba huwa inakaziwa sana. Wakifungwa na wengine huwa sawa ila siyo na Simba.
Huoni Mecky Mexime yeye akiwa kocha wa timu yoyote ile, mkazo mkubwa huwa anauweka kwenye kuhakikisha anaifunga Simba. Na akishindwa imamuuma KWELI KWELI[emoji2][emoji3][emoji38]
Hizo timu ñdivyo zilivyo.Wapumbavu fountaingate walikaza juzi wamewapanulia akina nani wale wakapigwa goli 2. Shenz kabisa.
Nafikiri Mwenda ndio alikuwa anamroga Kapombe, toka aondoke kiwango chake kimeongezeka..Ila huyo Kapombe anavyopiga maV passes ni hatari
Mtaendelea kuwa na mawazo ya kimaskini mpaka kiama,,na mnapoendelea kushupaza shingo kukataa ubora wa wenzenu kuwa wamewazidi aitowasaidia bali itaendelea kuwatafuna mpaka siku akili zikiwakaa sawa,,Mara hii umebadili gia angani tena unataka kulinganisha idadi ya mechi wakati hoja ilikuwa ni kushinda kuanzia goli tano (kwanza mmetuzidi mechi moja tu), by the way sisi mechi zetu siyo za maigizo ninyi hongeni hizo timu kisha zifungeni hata magoli mia ila ukiishia nafasi ya pili hayo magoli hayatakupa ubingwa, maana naona msimu huu mmeona ubingwa mgumu mmeamua kutafuta kiatu cha mfungaji bora kwa namna yoyote ile mradi msitoke patupu, kabla hujaleta zile ngonjera zenu za kuifunga simba mechi nne mfululizo jikumbushe kwanza mliifunga katika mazingira gani, tumeshajua kiwango chenu kinapimwa kwenye mechi za kimataifa na zile timu ambazo hazidhaminiwi na gsm hicho ndio kiwango chenu halisi huku kwingine huwa mnacheza nje ya uwanja
Ladack chasambi bingwaMtaendelea kuwa na mawazo ya kimaskini mpaka kiama,,na mnapoendelea kushupaza shingo kukataa ubora wa wenzenu kuwa wamewazidi aitowasaidia bali itaendelea kuwatafuna mpaka siku akili zikiwakaa sawa,,
Mtu una akili timamu unasema mlifungwa mechi 4 zote ktk mazingira Gani? Ktk mechi zote ulishindwa kujua unaferi wapi mpaka unafungwa?
Kiburi, wivu, ni vitu vinavyowatafuna maana amtaki kujifunza Wala kukubali mmezidiwa mbali kiubora wa wachezaji na vikosi ndio maana mnakosa heshima na mnahongwa Kila mkinusa pua zenu nanabaki na mawazo yale yale ya kimaskini kwamba wenzenu wanashinda kimipango,,na mkiingia na mentality iyo iyo kwenye mechi ijayo vilio vitaendelea nakwambia!
Acha porojo wewe takwimu za msimu huu zinaongea mngekuwa na huo ubora si mngekuwa mnaongoza ligi, simba tungekuwa wabovu si tungekuwa nafasi ya tatu au chini zaidi, msimu ulipoanza si mlisema yanga hii hakuna wa kuifunga africa sasa mbona leo mnalialia tenaMtaendelea kuwa na mawazo ya kimaskini mpaka kiama,,na mnapoendelea kushupaza shingo kukataa ubora wa wenzenu kuwa wamewazidi aitowasaidia bali itaendelea kuwatafuna mpaka siku akili zikiwakaa sawa,,
Mtu una akili timamu unasema mlifungwa mechi 4 zote ktk mazingira Gani? Ktk mechi zote ulishindwa kujua unaferi wapi mpaka unafungwa?
Kiburi, wivu, ni vitu vinavyowatafuna maana amtaki kujifunza Wala kukubali mmezidiwa mbali kiubora wa wachezaji na vikosi ndio maana mnakosa heshima na mnahongwa Kila mkinusa pua zenu nanabaki na mawazo yale yale ya kimaskini kwamba wenzenu wanashinda kimipango,,na mkiingia na mentality iyo iyo kwenye mechi ijayo vilio vitaendelea nakwambia!