Unampiga kibonde goli 3 na bado unaona umefanya kazi ya ziada,,prison kwa hali aliyonayo alistahili chuma si chini ya 5,,timu kama hizi yanga ndio anatoa adhabu stahili alafu mnakuja kubetua midomo kwamba yanga anahonga wakati uwezo wenu ndio huo!Points 3, goli 3, Clean sheet, killeleni.