FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Leo ni kilele cha ile siku pendwa ya Simba day ambapo inafanyika kwa mara ya 13 mfululizo. Tupo hapa kukuletea matukio yote muhimu toka Benjamin Mkapa national stadium.

Ungana nasi wanasimba wa Jf kusherekea pamoja nami nawaleta OKW BOBAN SUNZU

Mightier FORTALEZA

Na wengine wataungana baadae kidogo

Shughuli zilizopo
Burudani ya muziki
Mechi za utangulizi toka Simba queen na Simba u20

Utambulisho wa wachezaji

Simba vs Tp englaB mazembe

Ungana nas


Matokeo utangulizi
Simba U20 1-0 fonten gates
Simba queen 0-0
Faru 0-0 Tembo


Updates

Simba SC imeruhusu bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe kwenye mechi ya kirafiki katika kilele cha Simba Day 2021. Bao la TP Mazembe limefungwa na Baleke Jean.

Simba mechi ijayo atakutana na Yanga Septemba 25 kwenye ngap ya jamii.
=========


Burudani ya mpoki ni hatari,anatafsiri kifaransa hadi Raha
Wimbo wa taifa unaimbwa kwa vifaa maalumu

Wachezaji wanatambulishwa uwanjani

Morrson anakera balaah

FB_IMG_16320639300092003.jpg


FB_IMG_16320639237541815.jpg

Kikosi

FB_IMG_16320648003414751.jpg

Dakika ya 43,Ngoma kavu
 
Nyuzi za simba huwa zinachangamka sana.
Ajabu wale wengine hadi nyuzi za live apdates za kilabu chao huwa tunawaanzishia sisi wenyewe.
Hii inaonesha wapo dhaifu bin hali kuanzia ndani ya uwanja, nje mpaka huku JF.
Lakini sijawataja jamani!
 
Leo ili Simba waujaze uwanja wawaruhusu watu kuingia bure bila kujali ni shabiki Wa Simba au Yanga. Ningumu timu yenye mashabiki wengi wenye asili ya ki Hindi kuujaza uwanja wataifa kwakua idadiyao si kubwa.
 
Vip ule uhuni wa ugumu wa kupata ticket wa ile kampuni ya uuzaji na mfumo wao umeishia wapi?
 
Back
Top Bottom