Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 841
- 1,755
Kwani kwenye yanga hamna jisiemuHii timu bora ikabadilishwa tu jina na kuitwa MO FC! Yaani jezi imejaa Moo Moo kila sehemu! Utafikiri mashabiki wanapewa bure hizo jezi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kwenye yanga hamna jisiemuHii timu bora ikabadilishwa tu jina na kuitwa MO FC! Yaani jezi imejaa Moo Moo kila sehemu! Utafikiri mashabiki wanapewa bure hizo jezi!
Woyooo
Hii timu bora ikabadilishwa tu jina na kuitwa MO FC! Yaani jezi imejaa Moo Moo kila sehemu! Utafikiri mashabiki wanapewa bure hizo jezi!
Mkuu siyo vizuri hivyo kuwatisha Yanga, waache wapumzike.
Simba siyo wazee wa dezo dezo kama nye waruka ukuta wa MkapaLeo ili Simba waujaze uwanja wawaruhusu watu kuingia bure bila kujali ni shabiki Wa Simba au Yanga. Ningumu timu yenye mashabiki wengi wenye asili ya ki Hindi kuujaza uwanja wataifa kwakua idadiyao si kubwa.
Kule Nigeria itakuwaje ?Mtachapwa kipigo hatari[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha uhuni wewe huo mwiko nani kakuwekea huko nyuma?Simba nguvu mojaaaaa!
Nipo na Popcorn za Laki moja nikingoja update!
Simba Mbele daima nyuma mwiko!
Shangwe na ndelemoKule Nigeria itakuwaje ?
Shangwe za unyago?Shangwe na vigeregere
😂😂😂😂Shangwe za unyago ?
Usicheke mtani nieleweshe hizo shangwe zenu zitakuwa za nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unauliza majibu? Ushindi ni wa nani sasa kama sio wetu?🤗Usicheke mtani nieleweshe hizo shangwe zenu zitakuwa za nini