FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

Kocha awe anafanya maamuzi ya haraka forward na medified zimepwawa.Wanatesa Mabeki na kipa.
 
Mpaka sasa makosa yanayoonekana ni makosa binafsi ya wachezaji. Kujisahau kutokuwa responsible na kutafuta sifa kwa mashabiki vinginevyo kikosi kimeandaliwa viziri
 
imekuaje huko?
Mkuu ndo nimefika muda si mrefu bahati nzuri nimejikuta mechi kwenye dk ya 35, tangu hiyo dk naona tunapigwa msako hatari, team haikai kabisa na mpira.

Inamaana Chama na Miquisone ndo walikuwa na impact kubwa kiasi hiki??? [emoji15] Maana team imebadilika kabisa.

Binafsi kwa uchezaji huu, inabidi tukaze mazoezi kuelekea CCL.
 
Bwalya anacheza zaidi na jukwaa kuliko kuleta impact katika mechi. Kule mbele haonekani, mpira upo mbele yeye yuko behind.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…