Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Bonge la move
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imekuaje huko?Hivi tunacheza nini?
😂😂😂😂Hii simba tumepigwa hiii
Mkuu ndo nimefika muda si mrefu bahati nzuri nimejikuta mechi kwenye dk ya 35, tangu hiyo dk naona tunapigwa msako hatari, team haikai kabisa na mpira.imekuaje huko?
AiseeMkuu ndo nimefika muda si mrefu bahati nzuri nimejikuta mechi kwenye dk ya 35, tangu hiyo dk naona tunapigwa msako hatari, team haikai kabisa na mpira.
Inamaana Chama na Miquisone ndo walikuwa na impact kubwa kiasi hiki??? [emoji15] Maana team imebadilika kabisa.
Binafsi kwa uchezaji huu, inabidi tukaze mazoezi kuelekea CCL.
Ndio ukweli wenyeweHii simba tumepigwa hiii