FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

Mkuu wameuza chama na Miquissone halafu wamenunua mabasi tena zile Yutong used
 
Heeee tena?
Katika yote ya kulaumu we umeona mugalu tu?
Nimeandika na Mugalu na Morisoni.
Wewe umemwona Mugalu tu.
Hii posti nimeiandika kwanye mechi na Mazembe.
Na leo umeona uhalali wake
Mugalu ni Mzigo.
 
Simba mnapata wapi ujasiri wa kujibu humu, rasmi Simba siyo timu ya mpira ila kikundi cha wahuni. Mlituaminisha mmefanya pre season nzuri huko Morocco na mkipiga mechi zaidi ya tano za majaribio, mwisho wa siku hata pasi haziendi.
Daaah😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…