FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

Mkuu Hata Leo Mawazo Bado Yanathamani,
Huwezi Kuuza Suruali yako au Suti yako wakati huna Nguo nyingine ya Kuvalia Harusini!
Huwezi Kuuza Forward wawili wakali kwa Mpiga Namna hiyo Ukaacha Kupigwa kaka,
Walichofanya wamefanya Biashara tuu kuwauza Over..[emoji30]
Mkuu wameuza chama na Miquissone halafu wamenunua mabasi tena zile Yutong used
 
Heeee tena?
Katika yote ya kulaumu we umeona mugalu tu?
Nimeandika na Mugalu na Morisoni.
Wewe umemwona Mugalu tu.
Hii posti nimeiandika kwanye mechi na Mazembe.
Na leo umeona uhalali wake
Mugalu ni Mzigo.
 
Simba mnapata wapi ujasiri wa kujibu humu, rasmi Simba siyo timu ya mpira ila kikundi cha wahuni. Mlituaminisha mmefanya pre season nzuri huko Morocco na mkipiga mechi zaidi ya tano za majaribio, mwisho wa siku hata pasi haziendi.
Daaah😂😂
 
Back
Top Bottom