FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

Leo ili Simba waujaze uwanja wawaruhusu watu kuingia bure bila kujali ni shabiki Wa Simba au Yanga. Ningumu timu yenye mashabiki wengi wenye asili ya ki Hindi kuujaza uwanja wataifa kwakua idadiyao si kubwa.
Screenshot_20210919-143901_Chrome.jpg

nenda kapigwe mashine wewe
 
Mliopo uwanjani mtupe na matokeo ya mechi za utangulizi.
Pia mtujuze kama Masau Bwire ameshaanza utambulisho wa wachezaji wa Simba Queens
 
Ahsanteni wana simba hii vibe si ya nchi hiii ni nouma sanaaaaaa........
 
Mmmmmh hadi muda huu uzi upo page ya 6 ila hakuna picha za watu waliojaa uwanjani zaidi ya povu za screenshot za ticket sold out na maneno ya watu wa twitter😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wekeni picha wakuu uzi unoge
 
Mmmmmh hadi muda huu uzi upo page ya 6 ila hakuna picha za watu waliojaa uwanjani zaidi ya povu za screenshot za ticket sold out na maneno ya watu wa twitter[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wekeni picha wakuu uzi unoge
Numbisa umeanza sasa[emoji28].

We subiri ujionee team ya wakubwa ikifanya yake hapo Taifa.
 
Mmmmmh hadi muda huu uzi upo page ya 6 ila hakuna picha za watu waliojaa uwanjani zaidi ya povu za screenshot za ticket sold out na maneno ya watu wa twitter[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wekeni picha wakuu uzi unoge
Dada hauna kifurushi cha Azam nikutumie uone vibe la Simba???

Ma-lion yametoka mbuga zote Tz yamejaa uwanja mzima mpk nje napo hapaeneiii
 
Nipo safarini leo hovyo sitaweza kushuhudia matangazo ya moja kwa moja ya hii mechi, japo nilitamani sana kukiona na kukifanyia analysis kikosi chetu kama kitafaa kwa matumizi ya msimu huu.

Nitafurahi sana kama ntakuwa mnakichambua kikosi chetu hapa kwenye thread kadri mechi inavyoendelea.
 
Wekeni picha zinazoonesha uwanja umejaa nyie makolo, mbona picha hakuna

Mnaleta picha za sold out kuepuka aibu wakati admin anaamua tu kujiwekea sold out kumbe tickets zimeuzwa chache
 
Nipo dstv. Channel namba ngapi nkuu?
Dada hauna kifurushi cha Azam nikutumie uone vibe la Simba???

Ma-lion yametoka mbuga zote Tz yamejaa uwanja mzima mpk nje napo hapaeneiii
 
Kwa mama j wote walikua mashabiki wa yanga sasa hawa mume yanga mke simba raha sana wakiunganisha juhudi
Mama J nae alianza hivi hivi mwisho wa tamasha wakatoa kitu.
 
DSTV nimedampo kidogo, Hao makaburu wanisubiri nimalize kuangalia mnyama.

Njoo Azam Sports 1 huku, nyumbani kumenoga.
 
Back
Top Bottom