OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Leo ili Simba waujaze uwanja wawaruhusu watu kuingia bure bila kujali ni shabiki Wa Simba au Yanga. Ningumu timu yenye mashabiki wengi wenye asili ya ki Hindi kuujaza uwanja wataifa kwakua idadiyao si kubwa.
Rivers anadungwa tatu...Subiri jioni River's United anawatia vidole nyuma ya mwiko
Wanaunguzwa moto
Kama uwekezaji wote uliofanywa na MO na bado mashabiki wamegoma Ku ujaza uwanja hii ni hatari sana, bora wangetumia shamba la bibi.
Kama uwekezaji wote uliofanywa na MO na bado mashabiki wamegoma Ku ujaza uwanja hii ni hatari sana, bora wangetumia shamba la bibi.
Numbisa umeanza sasa[emoji28].Mmmmmh hadi muda huu uzi upo page ya 6 ila hakuna picha za watu waliojaa uwanjani zaidi ya povu za screenshot za ticket sold out na maneno ya watu wa twitter[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wekeni picha wakuu uzi unoge
Dada hauna kifurushi cha Azam nikutumie uone vibe la Simba???Mmmmmh hadi muda huu uzi upo page ya 6 ila hakuna picha za watu waliojaa uwanjani zaidi ya povu za screenshot za ticket sold out na maneno ya watu wa twitter[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wekeni picha wakuu uzi unoge
Mama J nae alianza hivi hivi mwisho wa tamasha wakatoa kitu.
Kumbe unafuatiliaMbumbumbu fc kweli wanavituko Leo okwi kawa surprise. Nchi hii ina vituko kwelikweli.
Dada hauna kifurushi cha Azam nikutumie uone vibe la Simba???
Ma-lion yametoka mbuga zote Tz yamejaa uwanja mzima mpk nje napo hapaeneiii
Mama J nae alianza hivi hivi mwisho wa tamasha wakatoa kitu.