Full Time: Singida FC 0 Vs Yanga SC 0, Namfua Stadium

Full Time: Singida FC 0 Vs Yanga SC 0, Namfua Stadium

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
FB_IMG_1509899410023.jpg
Yanga wakipakatwa dk zote 90

Habari ndiyo hiyo

Mpira umekwisha hapa CCM Namfua

Singida FC "ikitoka" kifua mbele kwa kutoa draw na Yanga

Ajibu, Shishimbi, Tambwe, Chirwa wooooote walikuwepo

Matokeo Mengine

Ndanda 0-Mtibwa 0
Kagera Sugar 1- Prison 1
Njombe 0- Mbao 0

Simba utatutaka mwaka huu
 
Mechi na Mtibwa mlijidai hivi ila sote nimashahidi ya nini kilitokea."Ustukane mamba kabla.. ..." tutakuona ukienda Singida
 
Habari ndiyo hiyo

Mpira umekwisha hapa CCM Namfua

Singida FC "ikitoka" kifua mbele kwa kutoa draw na Yanga

Ajibu, Shishimbi, Tambwe, Chirwa wooooote walikuwepo

Matokeo Mengine

Ndanda 0-Mtibwa 0
Kagera Sugar 1- Prison 1
Njombe 0- Mbao 0

Simba utatutaka mwaka huu
Simba lini
 
Ndala FC, baada ya mechi kwisha 0-0, walishangilia kama ambavyo walifanya dhidi ya Simba uwanja wa Uhuru Dar?
 
Mwaka Jana mikia mlitangulia pointi 8 lakini tulitwaa ubingwa na mwaka huu hadi sana tunalingana pointi mnategemea nini mikia?
 
Habari ndiyo hiyo

Mpira umekwisha hapa CCM Namfua

Singida FC "ikitoka" kifua mbele kwa kutoa draw na Yanga

Ajibu, Shishimbi, Tambwe, Chirwa wooooote walikuwepo

Matokeo Mengine

Ndanda 0-Mtibwa 0
Kagera Sugar 1- Prison 1
Njombe 0- Mbao 0

Simba utatutaka mwaka huu
Ungesubiri mvuke mto kesho ndiyo ndiyo uanze kuongea.
Waamuzi watafuata sheria 17 za football bila kujali kelele za Haji.
Ikibidi mtangulize rufaa FIFA maana mnafia Sokoine Stadium.
 
Back
Top Bottom