OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Habari ndiyo hiyo
Mpira umekwisha hapa CCM Namfua
Singida FC "ikitoka" kifua mbele kwa kutoa draw na Yanga
Ajibu, Shishimbi, Tambwe, Chirwa wooooote walikuwepo
Matokeo Mengine
Ndanda 0-Mtibwa 0
Kagera Sugar 1- Prison 1
Njombe 0- Mbao 0
Simba utatutaka mwaka huu