JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,197
Mwamuzi ana makosa, aliruhusuje mechi kuchezwa nyavu imetoboka?Nimempenda Refa kwa umakini wake.
Uwanja ufungiwe au upigwe fainiHuo uwanja ulikuwa unasifiwa wiki nzima kuwa umefanyiwa ukarabati mkubwa. Ukarabati gani wanashindwa kununua hata nyavu? Ligi ya nchi hii ni KITUKO
Sipati picha kama ile mechi ngekuwa Yanga vs Manara SC, utata wa lile goal ungeishia kama sio chama cha soccer Africa, basi ngoma ingeishia FIFA.
hahahahaha.....
Mtani una maneno....haya banaIlifika kipindi wakawa wanamtegemea Mwigulu badala ya wachazaji. Hakika Malinzi kondoka na ubingwa
Its true jana yanga tulizidiwa hasa kipindi cha pili and thats why tuliikubali ile sale kwa mikono miwiliSingida waliwazidi Yanga katika kumiliki mpira.
Tunataka ushindani wa namna hii na sio wa timu maarufu kushinda kila mechi.
Referee ana akili Sana hawa ndo waamuzi tunaowataka kuendesha ligi
Mwamuzi ana makosa, aliruhusuje mechi kuchezwa nyavu imetoboka?
Simba si ya kwanza na wala haitakuwa ya mwisho kuwa victim wa mapungufu ya waamuzi. Team nyingine, wamekuwa victims na wanasonga mbele. Tofauti ni kelele tu.
ExactlyMimi Nampongeza Referee! Kwa Sababu 2 muhimu...
1) Wengi wa Watanzania ni Wajinga (Hawana Uwelewa), Wachache tu Ndiyo Wadadisi na Watambuzi wa Mambo..
2) Kwahiyo Kutokana na Kukosa Uelewa Wengi Wamemuona Refa ni Shujaa Kwa Kukataa Goli Fake bila Ya Kuangalia Kwamba Yeye Refa Ndiyo Chanzo Cha Kufungwa Lile Goli Fake...
Lakini Kimtazamo Refa Ana Makosa Makubwa Sana Ya Kuchezesha Mechi Bila ya Kukagua Nyavu! Au Kama alikagua Atakuwa Ni Mzembe Wa Kuruhusu Mchezo Uendelee Huku Nyavu Zikiwa Mbovu...
CONCLUSIO:
Nampongeza Refa Kwa Kubeba Ushujaa Kwa Watanzania Wengi na Kumfanya Ajiandikie Historia ya Uaminifu..
Ila Kwa Upande Wangu Jana Amefeli From The Beginning Kwa Kutokukagua Nyavu...