Full Time: Singida FC 0 Vs Yanga SC 0, Namfua Stadium

Singida waliwazidi Yanga katika kumiliki mpira.
Tunataka ushindani wa namna hii na sio wa timu maarufu kushinda kila mechi.
 
Hilo "goli" lingeachwa ingetokea vita ya tatu ya dunia hapa Tz.
 
wa matopeni walikua washapigwa walizidiwa kila kitu
 
Sipati picha kama ile mechi ngekuwa Yanga vs Manara SC, utata wa lile goal ungeishia kama sio chama cha soccer Africa, basi ngoma ingeishia FIFA.
hahahahaha.....
 
Al badiri ingesomwa kila tawi la timu
 
Hilo goli la wazi na refarii anatakiwa kuwajibishwa vikali maana alikagua nyavu kabla ya mechi kuanza.
 
Singida waliwazidi Yanga katika kumiliki mpira.
Tunataka ushindani wa namna hii na sio wa timu maarufu kushinda kila mechi.
Its true jana yanga tulizidiwa hasa kipindi cha pili and thats why tuliikubali ile sale kwa mikono miwili
 
Mwamuzi ana makosa, aliruhusuje mechi kuchezwa nyavu imetoboka?

Mimi Nampongeza Referee! Kwa Sababu 2 muhimu...

1) Wengi wa Watanzania ni Wajinga (Hawana Uwelewa), Wachache tu Ndiyo Wadadisi na
Watambuzi wa Mambo..

2)
Kwahiyo Kutokana na Kukosa Uelewa Wengi Wamemuona Refa ni Shujaa Kwa Kukataa Goli Fake bila Ya Kuangalia Kwamba Yeye Refa Ndiyo Chanzo Cha Kufungwa Lile Goli Fake...

Lakini Kimtazamo Refa Ana Makosa Makubwa Sana Ya Kuchezesha Mechi Bila ya Kukagua Nyavu! Au Kama alikagua Atakuwa Ni Mzembe Wa Kuruhusu Mchezo Uendelee Huku Nyavu Zikiwa Mbovu...

CONCLUSIO:
Nampongeza Refa Kwa Kubeba Ushujaa Kwa Watanzania Wengi na Kumfanya Ajiandikie Historia ya Uaminifu..
Ila Kwa Upande Wangu Jana Amefeli From The Beginning Kwa Kutokukagua Nyavu...
 
Simba si ya kwanza na wala haitakuwa ya mwisho kuwa victim wa mapungufu ya waamuzi. Team nyingine, wamekuwa victims na wanasonga mbele. Tofauti ni kelele tu.

Nikumbushe lini Yanga alikuwa victim wa waamuzi
 
Mimi Nampongeza Referee! Kwa Sababu 2 muhimu...

1) Wengi wa Watanzania ni Wajinga (Hawana Uwelewa), Wachache tu Ndiyo Wadadisi na
Watambuzi wa Mambo..

2)
Kwahiyo Kutokana na Kukosa Uelewa Wengi Wamemuona Refa ni Shujaa Kwa Kukataa Goli Fake bila Ya Kuangalia Kwamba Yeye Refa Ndiyo Chanzo Cha Kufungwa Lile Goli Fake...

Lakini Kimtazamo Refa Ana Makosa Makubwa Sana Ya Kuchezesha Mechi Bila ya Kukagua Nyavu! Au Kama alikagua Atakuwa Ni Mzembe Wa Kuruhusu Mchezo Uendelee Huku Nyavu Zikiwa Mbovu...

CONCLUSIO:
Nampongeza Refa Kwa Kubeba Ushujaa Kwa Watanzania Wengi na Kumfanya Ajiandikie Historia ya Uaminifu..
Ila Kwa Upande Wangu Jana Amefeli From The Beginning Kwa Kutokukagua Nyavu...
Exactly
 
Back
Top Bottom