washachomoa mda sanaSidahni kama hao abidjan watashinda, muda wowote al ahly watachomoa
mkuu mpira hauna cha jina unafungika kama kawaNilijua Al Ahly watasawazisha. Na bado wanaweza kuongeza. Al Ahly siyo ya kufananisha na vitimu vya kipuuzi puuzi.
Ndio naona hapa, wakati naandika koment kumbe wajuba wameshachomoa.washachomoa mda sana
Hawa jamaa sio wabaya kivile,na wao wanaupigaivi vijamaaa vitakula nyingi sana
Tunahitaji viwanja vya hivi angalau 6Ni kweli; uwanja wa Houphouët-Boigny ni mzuri sana