Full Time: Stade D'abidjan 1- 3 Al Ahly | CAF Champions | group A

Full Time: Stade D'abidjan 1- 3 Al Ahly | CAF Champions | group A

Inaonekana kama vile Stade D'Abidjan wanaanza kuishiwa pumzi.
washazidiwa tayar hawawez kumaintain balance ile ile ya mwanzo na nd mara nyig ahly anawin apo anakuach uchoke kwanza
 
Orlando kesho anatakiwa kushinda hana namna nje ya hapo anatupwa nje ya mashindano maana game yake ya mwisho anamalizia Cairo
 
1736619931410.jpg
 
Back
Top Bottom