Full Time: Tanzania 0 - 1 Egypt | U-20 Africa Cup of Nations

Full Time: Tanzania 0 - 1 Egypt | U-20 Africa Cup of Nations

Kama Timu ya vijana sio nzuri tutegemee wakubwa wa baadae kuwa hivyo viongozi wapo busy kutaka uchaguzi wa tff na kuendelea kuongoza huku Timu zao zikifanya vibaya timu haina hata point moja..
 
Kama Timu ya vijana sio nzuri tutegemee wakubwa wa baadae kuwa hivyo viongozi wapo busy kutaka uchaguzi wa tff na kuendelea kuongoza huku Timu zao zikifanya vibaya timu haina hata point moja..
Tuna team mbovu hafu hatutaki kukubali
 
Fala binafsi sana uyu.. wanajua maana ya team hawa
 
Kila mchezaji amekua selfish sahivi huku mbele
 
Sioni ulazima wa logo ya TFF kwenye jezi
 
Yanga haijawahi kuzalisha kocha wa maana. Hao kina Minziro, Mkwasa hawatatupeleka popote. Mtu hajawahi kufanikiwa lolote katika ngazi ya klabu, ndiyo akalete miujiza kwenye ngazi ya taifa?

Linganisha walichokifanya kina Pawassa, Kibaden, nk.

Au unasemaje ngara23 ?
 
Back
Top Bottom