Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Tuna team mbovu hafu hatutaki kukubaliKama Timu ya vijana sio nzuri tutegemee wakubwa wa baadae kuwa hivyo viongozi wapo busy kutaka uchaguzi wa tff na kuendelea kuongoza huku Timu zao zikifanya vibaya timu haina hata point moja..
Utasikia wanadanganyana eti Karia kapandisha kiwango cha mpira Tanzania huo mpira upo wapi hapo .Tuna team mbovu hafu hatutaki kukubali