Full Time: TRA United 0 🆚 0 Young Africans SC, Machi 18, 2026, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Full Time: TRA United 0 🆚 0 Young Africans SC, Machi 18, 2026, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Hakuna ‘aliyefumania’ nyavu za mpinzani hadi sasa ‘Chugga’💪🏾#HalfTimeTRA 0️⃣-0️⃣ Young African.jpg

Mchezo unaendelea kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, upinzani ukiwa ni mkali, wenyeji TRA wanacheza pungufu baada ya mwenzao mmoja kucheza kadi ya pili ya njano.
HDsS9MXXkAAacPx.jpg

Hadi Kipindi cha Kwanza kinakamilika hakuna timu ilioona lango la mpinzani wake.
HDsqQcYWUAAqEdy.jpg

Mchezo umemalizika kwa timu zote kutoshana nguvu, hakuna mbabe, Yanga inabaki juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa na pointi 37, TRA United imefikisha pointi 20 katika michezo 15.
 
hydroxo Yanga haiwezi kuchukua ubingwa wa NBC kwa huyu kocha. Tulimkataa anapocheza na timu kubwa ila sasa anakoelekea hata timu ndogo hana mbinu za kuifunga kama wanapaki bus.
 
hydroxo Yanga haiwezi kuchukua ubingwa wa NBC kwa huyu kocha. Tulimkataa anapocheza na timu kubwa ila sasa anakoelekea hata timu ndogo hana mbinu za kuifunga kama wanapaki bus.
Hakuna kocha hapo.

Tapeli tu huyu.

Eng anafeli sana na makocha wake wa kubahatisha.

Kwa kifupi hatuwezi kuwa mabingwa wa NBC chini ya kocha tapeli asiye na mbinu kama huyu.

Kaachwa mbali sana na Miloud achilia mbali Nabi na Gamondi.

Chini ya huyu tapeli Yanga tutaendelea kupata matokeo ya hovyo tu.
 
Mwaka huu Yanga hakuna kocha wa kuipa ubingwa, timu inacheza dakika 90 hakuna shot on target, mechi 3 mfululizo Diarra kaikoa timu, narudia tena Shekhan ana offer vitu vingi uwanjani kuliko Okelo✍️
 
Bora yule kocha mzee wa kununa muda wote. Jina limenitoka
 
Hakuna kocha hapo.

Tapeli tu huyu.

Eng anafeli sana na makocha wake wa kubahatisha.

Kwa kifupi hatuwezi kuwa mabingwa wa NBC chini ya kocha tapeli asiye na mbinu kama huyu.

Kaachwa mbali sana na Miloud achilia mbali Nabi na Gamondi.

Chini ya huyu tapeli Yanga tutaendelea kupata matokeo ya hovyo tu.
Naona ki smart cha Hersi kufanya scout iliyo bora imeishia kwa Miloud pekee, na kumuacha yule kocha kirahisi ndio kumemsababisha atange tange hovyo na timu ku struggle.

Kocha anakupa mataji yote ya ndani na mpira wa kiufundi halafu unakaa kimya tu kukaa mezani kwaajili ya mkataba mpya. Kama hauna kocha mwenye mbinu, ufundi na mfumo mzuri, ni rahisi kuona wachezaji ni magarasa. Squad yote iliyopo Yanga lakini sura kila siku ni zile zile, mbinu hakuna, mfumo wa uchezaji wa kueleweka hakuna.
 
Hakuna kocha hapo.

Tapeli tu huyu.

Eng anafeli sana na makocha wake wa kubahatisha.

Kwa kifupi hatuwezi kuwa mabingwa wa NBC chini ya kocha tapeli asiye na mbinu kama huyu.

Kaachwa mbali sana na Miloud achilia mbali Nabi na Gamondi.

Chini ya huyu tapeli Yanga tutaendelea kupata matokeo ya hovyo tu.
Mbali na wachezaji wengi kuwa majeruhi ila coach naye ana mbinu butu
Huwezi kumtoa Duke Abuya akamwingiza Mudathir ambaye ana uchovu kutokana na swaumu
Nilivoona hiyo sub nikajua hii mechi hatushindi
 
Mzamiru anarudia makosa yake, kacheza rafu refa katoa advantage yeye anahangaika na mchezaji aliyeanguka.
 
Mbali na wachezaji wengi kuwa majeruhi ila coach naye ana mbinu butu
Huwezi kumtoa Duke Abuya akamwingiza Mudathir ambaye ana uchovu kutokana na swaumu
Nilivoona hiyo sub nikajua hii mechi hatushindi
😂😂😂
 
Back
Top Bottom