DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Hakuna kocha hapo.hydroxo Yanga haiwezi kuchukua ubingwa wa NBC kwa huyu kocha. Tulimkataa anapocheza na timu kubwa ila sasa anakoelekea hata timu ndogo hana mbinu za kuifunga kama wanapaki bus.
Unamaanisha Folz?Bora yule kocha mzee wa kununa muda wote. Jina limenitoka
Naona ki smart cha Hersi kufanya scout iliyo bora imeishia kwa Miloud pekee, na kumuacha yule kocha kirahisi ndio kumemsababisha atange tange hovyo na timu ku struggle.Hakuna kocha hapo.
Tapeli tu huyu.
Eng anafeli sana na makocha wake wa kubahatisha.
Kwa kifupi hatuwezi kuwa mabingwa wa NBC chini ya kocha tapeli asiye na mbinu kama huyu.
Kaachwa mbali sana na Miloud achilia mbali Nabi na Gamondi.
Chini ya huyu tapeli Yanga tutaendelea kupata matokeo ya hovyo tu.
Mbali na wachezaji wengi kuwa majeruhi ila coach naye ana mbinu butuHakuna kocha hapo.
Tapeli tu huyu.
Eng anafeli sana na makocha wake wa kubahatisha.
Kwa kifupi hatuwezi kuwa mabingwa wa NBC chini ya kocha tapeli asiye na mbinu kama huyu.
Kaachwa mbali sana na Miloud achilia mbali Nabi na Gamondi.
Chini ya huyu tapeli Yanga tutaendelea kupata matokeo ya hovyo tu.
Daah! Ahsante Kipenzi Changu ndo football.FT 0-0
Shadeeya pole kipenzi. Ila mimi kwangu ni oyooooooo
Ilo msahau!Tumemaliza vibaya round ya kwanza japo tunaongoza ligi
πππMbali na wachezaji wengi kuwa majeruhi ila coach naye ana mbinu butu
Huwezi kumtoa Duke Abuya akamwingiza Mudathir ambaye ana uchovu kutokana na swaumu
Nilivoona hiyo sub nikajua hii mechi hatushindi