Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KONGOLE NYINGI KWAO TANZANITEHawa mabinti hawajawahi kutuangusha.
Usije kushangaa hiyo simba inatoka mapema tuNi dalili nzuri kwa taifa letu kisoka. Naona hata simba ikifika fainali ya CAF Champions legue.
Mimi naamini Azam itafika mbali na Simba na yanga wote wako vizuriUsije kushangaa hiyo simba inatoka mapema tu
Mwaka huu sidhani hata kwenye makundi wataingia. Sababu timu nyingi zinaijua kuwa ni timu iliyopata mafanikio last season. Kwa hiyo zitajiandaa zaidi ili kupambana na Simba. Watu wanaweza kuduwazwa kupitia mechi ya kwanza tu.Usije kushangaa hiyo simba inatoka mapema tu
Hongera kwao! 👏👏👏👏👏👏Hawa mabinti hawajawahi kutuangusha.
Hivi kuna Academy yoyote inachukua watoto wa kike kwa ajili ya football?
Maana timu za wanaume zikipigwa tunasingizia wachezaji wakuokota,hawajapitia mtiririko rasmi.
Hiyo timu imepatikanaje?
Hongera kwao.
Hata mimi nikishavuta bangi huwa naona hivi.Ni dalili nzuri kwa taifa letu kisoka. Naona hata simba ikifika fainali ya CAF Champions legue.