Full Time UEFA Final: PSG 1 -1 Arsenal - Puskás Arena | May 30, 2026 - Baada ya Penati PSG anaibuka Bingwa (4-3)

Nani kubeba Ubingwa wa UEFA 2026?🏆


  • Total voters
    105
  • Poll closed .
Hizi timu zinacheza style tofauti.

Mtego atakao kuwa nao Arsenal ni kuruhusu kucheza end to end au Possession based football. Ni Bora Arsenal awaachie PSG mpira Huku yeye akisubiria moments zake, counter attacks PSG wanafungika ukiwa uko very quick na hao watu Arsenal wanao mfano Martinell...

Wale Jamaa wako vizuri Kila idara, Arsenal wameachwa mbali Sana na wale Jamaa hivyo wasishindane nao maana Duniani kuna timu hutakiwi kucheza nao End to End football like basketball Mfano Real Madrid, Man United maana hizi ndio style zao sasa PSG nao wameingia kwenye hii style but Kwa utofauti mdogo Tu wa kumiliki mchezo na kufanya positional interchange ya haraka.
 
Arsenal bingwa... Kuna mbuzii Nimenunua pombe bureeeee kabisaa..

Kesho iyoo mwenye mudaa kesho nimpe location 😊 madee atakua mgeni rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…