Mkuu, sisi EPL inatosha, izo nyingine ni marupurupu.Mwanzoni ilianza kama event ya kawaida kumbe ndani yake walikua na lao.
Sema sio kesi leo ndo asenyali mtajua maana ya heri kenda shika kuliko kumi nenda rudi.
Duuh.. Nomaa mwendo wa uchawa tuMgeni rasmi mkuu wa mkoa?
PSG anachotuzidi ni Uharaka wa kushambulia. Arsenal kwenye kushambulia tuko slow sana. Unakuta timu pinzani hata kama ilikuwa na shape mbovu yakuzuia basi inajijenga na kuzuia shambulizi. PSG usiombe wakujibu shambulizi lako, wako fasta sna kutumia maeneo ambayo yako wazi hasa maeneo ya pembeni. Viungo wao wanauharaka sana kutumia makosa na kupga quick counter ambazo kuzizuia ni ngumu cause 1v1 PSG hesabu goal.Hizi timu zinacheza style tofauti.
Mtego atakao kuwa nao Arsenal ni kuruhusu kucheza end to end au Possession based football. Ni Bora Arsenal awaachie PSG mpira Huku yeye akisubiria moments zake, counter attacks PSG wanafungika ukiwa uko very quick na hao watu Arsenal wanao mfano Martinell...
Wale Jamaa wako vizuri Kila idara, Arsenal wameachwa mbali Sana na wale Jamaa hivyo wasishindane nao maana Duniani kuna timu hutakiwi kucheza nao End to End football like basketball Mfano Real Madrid, Man United maana hizi ndio style zao sasa PSG nao wameingia kwenye hii style but Kwa utofauti mdogo Tu wa kumiliki mchezo na kufanya positional interchange ya haraka.
Kweli kabisa...Hawa Jamaa PSG mpira wa end to end ndio wanaopenda maana wanajua lazima watakufunga mengi Sana, majamaa pasi nne wako golini sasa ukiwa unawaachia magepu hawakuachi, ndicho walichofanyiwa Bayern,Inter fainali na timu zote zilizotolewa hatua za mtoano na PSG.PSG anachotuzidi ni Uharaka wa kushambulia. Arsenal kwenye kushambulia tuko slow sana. Unakuta timu pinzani hata kama ilikuwa na shape mbovu yakuzuia basi inajijenga na kuzuia shambulizi. PSG usiombe wakujibu shambulizi lako, wako fasta sna kutumia maeneo ambayo yako wazi hasa maeneo ya pembeni. Viungo wao wanauharaka sana kutumia makosa na kupga quick counter ambazo kuzizuia ni ngumu cause 1v1 PSG hesabu goal.
PSG yuko bora sana na anacheza mchezo wowote iwe kumiliki mpira,kulinda na kushambulia kwa kushtukiza. Arsenal tuzichange karata vzur na tusitake sana kupishana nao itatokea ya Bayen.
PSG anatabia yakutaka kumaliza game mapema, game nyingi anakufunga kabla hujakaa vizur then ukija na presha yakurudisha ndo anapokumiminia hapo. Chelsea ile final alishinda cause alitumia mbinu hiyohiyo PSG wanaitumia. Ni kama wamekufa hivi wamakuvizi ufanye makosa kidogo tu wanakufunga. Na wakikaa nyuma ujue ntolee hiyo kupata goal ni issue na ukizibaa ni mengi sabab unatakiwa ushambulie na uzuie kwa energy ileile. Arteta ajifunze kuzuia hizi mbinu za Luis Enrieq cause jamaa ni hatari sana kimbinu tulimuona akiwa Barca na MSN.Kweli kabisa...Hawa Jamaa PSG mpira wa end to end ndio wanaopenda maana wanajua lazima watakufunga mengi Sana, majamaa pasi nne wako golini sasa ukiwa unawaachia magepu hawakuachi, ndicho walichofanyiwa Bayern,Inter fainali na timu zote zilizotolewa hatua za mtoano na PSG.
Amka usingizini unaota weweFainali mbaya kuliko zote , arsenal anaenda kupigwa kama ngoma
Ofcoz ndio kilichobaki. Mi naenda kibanda umizaNatamani nijifungie home niangalie huu mtanange...huko nje presha kibao😁😁😁😁Arsenal tunawapinzani wengi sana.