Full Time UEFA Final: PSG 1 -1 Arsenal - Puskás Arena | May 30, 2026 - Baada ya Penati PSG anaibuka Bingwa (4-3)

Nani kubeba Ubingwa wa UEFA 2026?🏆


  • Total voters
    105
  • Poll closed .
PSG anachotuzidi ni Uharaka wa kushambulia. Arsenal kwenye kushambulia tuko slow sana. Unakuta timu pinzani hata kama ilikuwa na shape mbovu yakuzuia basi inajijenga na kuzuia shambulizi. PSG usiombe wakujibu shambulizi lako, wako fasta sna kutumia maeneo ambayo yako wazi hasa maeneo ya pembeni. Viungo wao wanauharaka sana kutumia makosa na kupga quick counter ambazo kuzizuia ni ngumu cause 1v1 PSG hesabu goal.
PSG yuko bora sana na anacheza mchezo wowote iwe kumiliki mpira,kulinda na kushambulia kwa kushtukiza. Arsenal tuzichange karata vzur na tusitake sana kupishana nao itatokea ya Bayen.
 
Kweli kabisa...Hawa Jamaa PSG mpira wa end to end ndio wanaopenda maana wanajua lazima watakufunga mengi Sana, majamaa pasi nne wako golini sasa ukiwa unawaachia magepu hawakuachi, ndicho walichofanyiwa Bayern,Inter fainali na timu zote zilizotolewa hatua za mtoano na PSG.
 
PSG anatabia yakutaka kumaliza game mapema, game nyingi anakufunga kabla hujakaa vizur then ukija na presha yakurudisha ndo anapokumiminia hapo. Chelsea ile final alishinda cause alitumia mbinu hiyohiyo PSG wanaitumia. Ni kama wamekufa hivi wamakuvizi ufanye makosa kidogo tu wanakufunga. Na wakikaa nyuma ujue ntolee hiyo kupata goal ni issue na ukizibaa ni mengi sabab unatakiwa ushambulie na uzuie kwa energy ileile. Arteta ajifunze kuzuia hizi mbinu za Luis Enrieq cause jamaa ni hatari sana kimbinu tulimuona akiwa Barca na MSN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…